DIAMOND&JOKATE PENZI LA RUDI UPYAAA!SIKU kadhaa baada ya wapenzi mastaa, Miss Jokate Mwegelo na mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ kutibuana kisa kikiwa ni mwanamuziki huyo kunaswa hotelini na mwigizaji Aunt Ezekiel, wawili hao wamerudiana na kuanza mapenzi upya, Ijumaa Wikienda limeshiba data. MAZUNGUMZO HOTELINI
6:38 AM |
SIKU kadhaa baada ya wapenzi mastaa, Miss Jokate Mwegelo na
mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ kutibuana kisa kikiwa ni mwanamuziki
huyo kunaswa hotelini na mwigizaji Aunt Ezekiel, wawili hao wamerudiana
na kuanza mapenzi upya, Ijumaa Wikienda limeshiba data.
MAZUNGUMZO HOTELINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 comments:
Post a Comment