Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano Mahenge (kulia) leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu…
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
8:21 AM |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment