THE BEST BLOG IN TOWN

Powered by Blogger.

Text

RSS

YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA MSIMU WA PILI WA KIPINDI CHA NGOMANI @New Maisha CLub

Jana ilikuwa uzinduzi wa msimu wa pili NGOMANI kipindi kinachorushwa na mwanadada Mary kutoka DTV. Walikuwepo wasanii mbalimbali walioalikwa na pichani ni Patricia Hillary
MC wa shughuli nzima
Pichani ni Ally Star anatokea TOT
Dogo Asley kwa steji
Ally Mikidadi Band kwa steji
Peter & Mary ambaye ndio mtangazaji wa show hiyo ya NGOMANI

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment