JUSTIN BIEBER APIGA SHOW YA BURE NCHINI MEXICO
8:46 AM |
Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari kuhusu mpango wa Justin
Bieber kupiga show za bure kama surprise kwa mashabiki wake. Well,
Mexico jana wamefaidi ofa hiyo kutoka kwa kijana huyo mwenye mashabiki
lukuki duniani hasa wenye umri mdogo kama yeye.
Takriban umati wa watu 200,000 nchini Mexico jana usiku umeshuhudia show ya Bieber kwa kiingilio cha miguu yao tu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 comments:
Post a Comment