Nyota wa muziki wa kizazi kipya kutoka ‘kruu’ ya Tip Top
Connection yenye maskani yake pande za Manzese jijini Dar es
Salaam Abdul Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ ametupiwa virago ndani ya kundi hilo.
Akizumngumza na Teentz .com mapema leo kiongozi wa kundi hilo
Hamad Ally ‘Madii’ amesema kuwa Dogo Janja ameshindwa kuendana na
makubaliano halisi yaliyokuwepo baina yake na uongozi wa kundi hilo
ikiwemo kuhudhuria shuleni kama alivyokuwa akitakiwa kufanya kila
siku badala yake amekuwa akiendekeza starehe na wakati mwingine
kufanya mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yalikuwa yanalichafua
kundi hilo.
“Tumemkabidhi kwa kaka yake mapema leo tukiwa maeneo ya Ubungo
tayari kwa safari ya kurudi kwao na wakati huo tulifanya mawasiliano
na
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 comments:
Post a Comment