HUDUMA YA AIRTEL SUPA FIVE YAZINDULIWA MORO
6:17 AM |
Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akighani jukwaani kuburudisha
umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi -
Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye
lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia
Airtel. Huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa,
Arusha na Mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 comments:
Post a Comment